Senegal na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) zimetaka nchi zishirikiane kukabiliana na mitandao ya magendo ya wahamiaji na kubuni ajira, huku idadi ya wanaojaribu kufika Ulaya kwa boti ikiongezeka tena. DW Mubashara https://p.dw.com/p/5PTdQ Ichaguwe DW kwenye Google Senegal na IOM zimetaka nchi za Afrika Magharibi zishirikiane kukabiliana na mitandao inayosafirisha
COP31 inapokaribia kumalizika mjini Antalya, mataifa ya Afrika yanauliza iwapo ahadi za ufadhili hatimaye zitatoa fedha ambazo jamii zinahitaji kukabiliana na ukame, mafuriko na joto kali. https://p.dw.com/p/5PiWf Ichaguwe DW kwenye Google Baadhi ya nchi za Afrika zinakabiliwa na athari za El Niño kwa hali ya hewa. (Picha ya kumbukumbu ya mwaka 2024.)Picha: Thomas
Baada ya karibu wiki mbili za mazungumzo ya COP31, mataifa bado yanatofautiana kuhusu hatua za kudhibiti ongezeko la joto duniani. Rasimu mpya ya azimio haina wito wa kuachana na mafuta, gesi na makaa ya mawe. https://p.dw.com/p/5PiWO Ichaguwe DW kwenye Google Mazungumzo ya COP31 yameingia muda wa ziada huku mataifa yakitofautiana kuhusu iwapo azimio la mwisho litaje hatua za
Mashambulizi hayo yamefuatia ahadi ya Rais Vladimir Putin ya kutoa jibu “lenye maumivu” baada ya Ukraine kulishambulia daraja la Kerch, linalounganisha Urusi na Crimea inayokaliwa na Urusi. https://p.dw.com/p/5PTdO Ichaguwe DW kwenye Google Urusi imeushambulia mji wa Kryvyi Rih mara kadhaa tangu vita vilipoanza.Picha: Press service of the National Police of
Iliyochapishwa Dakika 57 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 6 Saa chache baada ya kuanzisha uvamizi mkubwa dhidi ya Ukraine, Februari 24, 2022, Rais Vladimir Putin aliwakusanya baadhi ya matajiri wakubwa wa Urusi katika Ikulu ya Kremlin. Zaidi ya mabilionea 36 walikaa upande mmoja wa ukumbi mkubwa wa Yekaterininsky, wakiwa wamevaa barakoa kutokana na janga la Covid-19. Putin
Iliyochapishwa Dakika 1 iliyopita Muda wa kusoma: Dakika 2 AC Milan inafuatilia hali ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes, mwenye umri wa miaka 32, ambaye bado hajafikia makubaliano ya kuongeza mkataba wake na klabu hiyo. (Corriere dello Sport) Manchester United inajiandaa kushindana na Tottenham Hotspur kuwania saini ya mshambuliaji wa
Huenda ulizoea kuambiwa unywe maziwa ukiwa mtoto ili uwe na mifupa imara. Lakini je, unajua kuwa mifupa yako huanza kupoteza uimara mapema kuliko unavyoweza kudhani? Kuna vyakula unavyoweza kula sasa ili kusaidia kuilinda mifupa yako na kupunguza hatari ya kudhoofika kadiri unavyozeeka. Huenda bado unakumbuka jinsi ulivyohimizwa kumaliza glasi yako ya maziwa ukiwa mtoto, kwa
Wizara ya Ulinzi ya Finland inasema huenda helikopta ya Urusi iliingia anga yake wakati wa shughuli za uokoaji au ufuatiliaji baada ya droni kuishambulia meli ya mizigo ya Urusi iliyowekewa vikwazo na Marekani. https://p.dw.com/p/5PTdO Ichaguwe DW kwenye Google Finland ilipeleka ndege zake za kivita kujibu tukio kama hilo katika anga la Estonia mnamo Septemba 2025.Picha:
Kila mwaka Novemba 20, dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto, siku inayoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa lengo la kuhamasisha ulinzi na utekelezaji wa haki za watoto, pamoja na kuwapa nafasi ya kueleza maisha yao, matarajio yao na mustakabali wanaoutamani. Maadhimisho ya mwaka huu wa 2026, yenye ujumbe “Siku yangu, haki zangu,
Ataja ufadhili, nishati safi na teknolojia Asema vitajenga uchumi imara na endelevu Afrika Asema Wakala wa Ukadiriaji Mikopo Afrika kufanikisha ufadhili Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ant�nio Guterres, ametoa wito wa kuimarishwa kwa uwekezaji na ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi ili kuharakisha maendeleo ya viwanda barani Afrika. Katika ujumbe wake wa siku ya
Ni wa kaunti ya Nyamira watumia migomba kutengeneza nywele na taulo za kike Wavuvi kaunti ya Kwale nao waongezea thamani zao la mwani Vipato vya wakulima na wavuvi vyaongezeka Je umeshawahi kusikia taulo za kike zinazotengenezwa kwa kutumia shina la mgomba? Kama la, nchini Kenya shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda, UNIDO limewezesha wakazi wa kaunti ya Nyamira
Haki ya mtoto kuendelezwa kielimu kwa mujibu wa Mkataba wa Kimataifa wa Mtoto, (CRC) leo imepigiwa chepuo na shirika la Elimu Haiwezi Kusubiri, (ECW) baada ya kutangaza uwekezaji wa dola milioni 52 kusaidia zaidi ya watoto 300,000 kuendelea kupata elimu katika nchi za Lebanon, Myanmar na Sudan Kusini, ambazo zimeathiriwa na migogoro na majanga ya kibinadamu. Akizungumza na
Nchi kutoka mabara manne zimepinga rasimu ya COP31, zikidai hatua madhubuti kuhusu nishati ya kisukuku na ufadhili Ufaransa na Panama zinaongoza juhudi za kutaka makubaliano yajumuishe vipaumbele sita vya kukabiliana na tabianchi. Panama imetishia kupinga makubaliano yoyote yasiyotaja nishati ya kisukuku. Wanaharakati wameikataa rasimu hiyo, wakisema haizingatii mahitaji ya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, limetangaza mpango wa kusaidia watu milioni 91 wanaokabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula mwaka 2027, na kwamba linahitaji zaidi ya dola bilioni 12 ili kutekeleza mpango huo. Katika ripoti yake ya matarajio ya mwaka 2027 iliyozinduliwa leo mjini Roma, Italia, WFP imeonya kuwa
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Dalia Haidar Akiripoti kutoka, BBC News ArabicIliyochapishwa Saa 2 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 5 Miaka mitatu iliyopita, Mwingereza Kyle Palmer alifanya uamuzi ambao wengi waliuona kuwa wa pupa. Aliamua kuifunga kampuni yake ya masoko ya kidijitali licha ya kuwa na mikataba yenye faida na wateja wengi. Sasa anasema aliona biashara yake
Iliyochapishwa Saa 1 iliyopita Muda wa kusoma: Dakika 9 Sayansi ya roketi ni ngumu.Imekuwa ikifahamika kwa ugumu wake. Vyombo vya anga vina mamilioni ya vipengele, na kila kimoja hutekeleza maelfu ya hatua na michakato. Hitilafu moja tu inaweza kuhatarisha mafanikio ya safari nzima. Wataalamu wanaosimamia safari za anga hawawezi tu kumtuma fundi kwenda Mars au katika kina cha
Iliyochapishwa 21 Julai 2026 Muda wa kusoma: Dakika 5 Alan Reeves alikuwa mmoja wa wachezaji maarufu wa kundi la The Dreamboys nchini Uingereza katika miaka ya 1990. Lakini alipofikisha miaka ya 30, anasema alianza kupoteza hamu ya kufanya ngono, hali iliyomwathiri kihisia na kuleta changamoto katika uhusiano wake wa muda mrefu. Sasa akiwa na umri wa miaka 52 na akifanya kazi
Iliyochapishwa Saa 2 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 2 Kofia hiyo iliyomezwa na kiboko Fiona ilikuwa imekwama ndani ya utumbo wake mwembamba, na hivyo madaktari hawakuweza kuiondoa, kulingana na taarifa ya Bustani ya Wanyama ya Cincinnati, jimbo la Ohio nchini Marekani. Madaktari wa mifugo walifanya juhudi za kuokoa maisha ya Fiona baada ya kumeza kofia hiyo. Hata hivyo,
Iliyochapishwa 30 Julai 2026 Muda wa kusoma: Dakika 7 Mara nyingi kumekuwa na mijadala mikubwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu Freemasons, maarufu kama Wamasoni. Wengine wamekuwa wakiwahusisha na ushawishi mkubwa katika siasa, uchumi na taasisi mbalimbali duniani, huku wengine wakiamini kuwa mengi yanayosemwa kuhusu kundi hilo yanachangiwa na nadharia
Iliyochapishwa 29 Julai 2026 Muda wa kusoma: Dakika 6 Kwa watu wengi, kupendwa kwa mara ya kwanza ni jambo wanalokumbuka kwamuda mrefu maishani. Lakini kwa nini mahusiano ya kwanza husalia akilini hata baada ya miongo kadhaa kupita? Ni nini hufanya kumbukumbu za wakati hio kusalia kwa muda mrefu, na kuwa zisizoweza kusahaulika? Ubongo hutengeneza kumbukumbu za kudumu, hasa